Mkakati wa kina wa Ufuatiliaji Uvuvi Pweza Wilayani Kilwa Kwa Njia ya Kielektroniki (eCDT)

Mkakati wa kina wa Ufuatiliaji Uvuvi Pweza Wilayani Kilwa Kwa Njia ya Kielektroniki (eCDT)

Umoja wa Ufuatiliaji na Uhalalisho wa Mazao ya Bahari (SALT) ni taasisi binafsi yenye ubia na
USAID pamoja na Packard, Moore, na Walton Family Foundations (Mfuko wa hisani wa familia).
Miradi yake inatekelezwa na FishWise (Taasisi inayojihusisha na utoaji ushauri kuhusiana na
uzalishaji endelevu wa mazao ya bahari). SALT, Aqua Farms Organization (AFO) na Mshauri wa
masuala ya kiufundi Ndg Yahya Mgawe wanatoa shukrani za dhati kwa wadau wafuatao kwa
kujitolea kwa ajili ya Bahari yetu na watu wanao itegemea, pia na mchango wao muhimu katika
kufanikisha mkakati huu.

● Wizara ya Mifugo na Uvuvi
● Idara ya Uvuvi
● Jamii ya Wilaya ya Kilwa
● Wanachama wa Kamati ya Kuunda-kwa-Pamoja
● Washiriki wa Warsha ya Kuunda-kwa-Pamoja

Mkakati huu umewezeshwa kwa msaada mkubwa wa Watu wa Marekani kupitia Shirika la
Maendeleo la Kimataifa ya Marekani (USAID), chini ya Mkataba wa Ushirika Na.
AID-OAA-A-17-00020. Maudhui ya ripoti hii ni jukumu la FishWise na hayaakisi maoni ya
USAID au serikali ya Marekani.